No210. Yesu Mwokozi Mpendwa Wonderful, Wonderful Jesus

   Yesu Mwokozi Mpendwa  Wonderful, Wonderful Jesus

      1  

Yesu Mwokozi Mpendwa. 

Hakuna mwingine! 

Yesu Mwokozi Mpendwa, Yesu Mwokozi Mpendwa, 

Nakutazama Wewe pekee, 

Yesu Mwokozi Mpendwa, Ninakutafuta; 

Wewe u mali yangu. 

 

Sasa na milele. 

No209. Ulimwengu Wataka What the World Needs is Jesus

    Ulimwengu Wataka  (What the World Needs is Jesus) 

  

Ulimwengu wataka kumwona Yesu; 

Ulimwengu wataka kumwona Yesu. 

Analeta furaha, shangilio kutosha, 

 

Ulimwengu wataka kumwona Yesu. 

No208. Nataka Niwe Tayari I Want to be Ready When Jesus Comes

        Nataka Niwe Tayari   (I Want to be Ready When Jesus Comes) 

 

Nataka niwe tayari, Bwana, 

Nataka niwe tayari, Bwana, 

Furaha za ulimwengu ni bure; 

 

Nilinde hata uje! 

No207. Roho Wa Mungu Wangu Spirit of the Living God

    Roho Wa Mungu Wangu Spirit of the Living God 

1    

Roho wa Mungu wangu, Nakuhitaji! 

Roho wa Mungu wangu, Nakuhitaji! 

  Uniunde, na unijaze 

 

Roho wa Mungu wangu, Nakuhitaji!